Recent content by JOZEY MAGANGA

  1. J

    SoC03 Serikali iweke asilimia 20% kwenye vifurushi na miamala ya simu itakayokwenda kwa mteja

    Watu wengi wamekuwa wakilalamika sana kuhusu kuhusu ununuzi wa VIFURUSHI na makato kwenye miamala ya simu wakiona kuwa wanapata faida ndogo hususani kwenye VIFURUSHI ukilinganisha na gharama wanayotoa! Naishauri SERIKALI waweke ASILIMIA kwenye gharama anayotoa MTEJA Ili irudi kwa MTEJA kama...
  2. J

    SoC02 Nguvu ya kushindwa (Mandonga vs Kaoneka)

    Si Kila unapoteleza na kujikuta umeanguka kwamba wewe ni mvivu sana au wew hujui chochote,la hasha! Ni muda na wakati uliamua tu kushindwa kwako kutokee Ili kufanikiwa kwako kung'are kama nyota ya alfajiri! Tuangalie pambano la mandonga MTU KAZI na KAONEKA, aliyesema atashusha mvua ya...
  3. J

    SoC02 Chanzo kipya cha ajira kwa vijana

    UTANGULIZI "Ajira kwa vijana" umekuwa ni wimbo wa Kila siku ambao watu kama wanasiasa na viongozi wengi wa serikali na wasio wa serikali(NGOs) wamekuwa wakiuimba Kila siku na mara nyingine viongozi wa kisiasa wamekuwa wakiuimba kama njia Yao nzuri ya kuwahadaa vijana na wazazi wa vijana hao Ili...
Back
Top Bottom