Msaada kwa mtu mwenye uelewa wa biashara ya vitu vya jumla (matumizi ya nyumbani) namaanisha duka la jumla,.
Naomba muongozo kwa anayefanya au mwenye ufahamu na hii biashara, nilipo ni mkoani natamani kuifanya hii biashara.
Nahitaji nipate mwangaza ni wapi nianzie, mtaji wake, ununuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.