Nimenunua bidhaa kupitia KIKUU biashara ya mitandao mwaka pili sasa ila wameanza ufigisufigisu sasa.Bidhaa inaonyesha imeshafika Dar es Salaam Ofisini kwao wiki na nusu lakini hawanipi taarifa lini nitaipata.Ukiwauliza wanasema watanipigia simu nikauchukue.Inaanza kunikatisha tamaa ya kuagiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.