Recent content by Joy3323

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Kama una mi-frustration yako ya maisha hujalazimishwa kukoment kwenye hii post. Unaweza ukapita tu!
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Nyalotsi - Hiyo ndio age & vigezo nilivyo vitaka mimi. Kama wewe ulichukua tu mwenza wako bila kuangalia chochote ni maisha yako. So, i guess choice yangu wala haikuhusu. Jamani; tuache negative thinking. Hata nikikosa au nikaenda kuchezewa ni mimi. Sioni inawauma nini watu wengine humu ndani!
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Hamy-D - Hayo ni mawazo yako. But ungeniambia hiyo ni research gani ambayo ilisema hivyo; I guess umekurupuka tu. Ingawa haikua lazima ukomment on this post if u had nothing positive to say!
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    rubii - Yes, i do not have. hongera wewe uliyenae!
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Ila naomba unaponi-PM; jaribu kujielezea kidogo kuendana na hvyo vigezo nilivyotaja ili niweze kukuelewa vizuri. Lakini I want to thank you all mlio niandikia so far. Asanteni sana!
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Thanks franky for the comment. But vigezo nilivyo vitaja hapo ni muhimu zaidi kuliko hizo six pack! Ila akiwa nazo itakua like a bonus i think.
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Asante chalii wa ara
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Thanks Mr.django
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    And thank you BansenBurner
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Thanks Gfsonwin
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Thanks bitebo7
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Hello my fellow JF Members, Mimi ni msichana mwenye miaka 33, msomi, na ni muajiriwa Serikalini. Carreer-wize I am doing ok but I think it's about time I meet my future husband & soulmate wangu. I would like him Awe na umri kuanzia 33-45,awe mrefu, mwili wa wastani, rangi it doesn't matter...
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike mwenye umri wa miaka 30-42 asante

    Wewe mwenyewe una miaka mingapi? just curious
Back
Top Bottom