Shida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.
Nlivomuuliza mkuu pale njombe akasema nirudi kusoma upya ila nlikua nawaza kwenda dar ofisi kuu nione watanisaidiaj.
Los report nnayo ata ata coloured copy yake ninayo ila kila napoomba kazi kwenye usaili wanataka original
Shida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.
Nlivomuuliza mkuu pale njombe akasema nirudi kusoma upya ila nlikua nawaza kwenda dar ofisi kuu nione watanisaidiaj
Naitwa Hussein issa nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila
Hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu.
Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali
Naitwa Hussein Issa Nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu.
Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali.
Kwenda dar bila ramani bos huon kama naeza kukwama?
Labda niwe na lefa la sivo naweza nkaenda na nkarudi bila mafanikio.
Unaonaje unisaidie unitaftie af nije nkiwa na uhakika bos? Nko radhi hata nkupe chochote kama kuku encourage
Hilo group members wake hawako active make n sku kama ya tatu nimetuma request ya Ku join group lakin no reply bos.
Araf lesen ninayo tayari ila sema Sina uzoefu Wa maroli ndo maana natafta utingo kwanza nizoee kaz araf kwabadae nkishazoea ndo nijiombee gari mwenyew
Napatikana huku kagera na namba zangu hiz apa
0768526381 Voda
0710163213 tgo
0789044413 airtel na
0621841594 halotel
Nitoe shukran kwa yeyote atakae nisaidia kutimiza ndoto yangu
Mi nachokitafta ni uzoefu tu bos.
Saiv napata day-worker kweny magali madogo ila makubwa sijawahi na ndo ndoto yangu.
Hata kama dereva ataitaji nimlipe haina shida ilimrad nitimize lengo langu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.