Recent content by Jovetic

  1. Jovetic

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo inagtangaza lini awamu ya pili ya Waliopata mikopo 2018/19?

    Yan majina waliotoa awam ya pili hayazid elfu 3
  2. Jovetic

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Heslb wametoa batch nyingine
  3. Jovetic

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo inagtangaza lini awamu ya pili ya Waliopata mikopo 2018/19?

    Majina ya mkopo batch 2 tyar
  4. Jovetic

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa mkopo awamu ya pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza 2018/19

    Wanafunzi wapatao 2,397 wamepangiwa mikopo katika awamu ya pili ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019. Idadi hiyo inafanya jumla ya Wanafunzi wa elimu ya juu wapatao 27,929 kati ya wanafunzi 40,000 wa mwaka wa kwanza kupangiwa mikopo hadi leo Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
  5. Jovetic

    JamiiForums Tanzania TCU liangalieni kwa makini suala la vyuo kufanya confirmation bila ridhaa ya wanafunzi

    TCU naomba sana mlifuatilie... Kuna suala limeibuka la baadhi ya vyuo kufanya confirmation bila ridhaa ya mwanafunzi husika. Jambo hili litasababisha kutokea kwa multiple confirmation na hivyo kupelekea baadhi ya majina kuchelewa kupelekwa bodi ya mikopo. Nawasihi sana mlishughulikie suala...
  6. Jovetic

    JamiiForums Tanzania TCU Code Zinakuja Kwa usafiri Gani??

    Ni kweli mkuu UDOM wamefanya huo mchezo alaf ukiwapigia wanadai hawahusiki sijui itakuwaje yan
  7. Jovetic

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Naomba kuuliza.....eti kwa system ya mwaka huu ya kutumia code kuconfirm,Tatizo la multiple confirmation linaweza kutokea au la? Na je chuo kinaweza kufanya confirmation badala ya mwanafunzi?
  8. Jovetic

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Mi wamenitumia code usiku wa leo saa 8 nmeconfirm imekubali Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Jovetic

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Mi badooooo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Jovetic

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    Mi mwenyew nasubiria code bado hawajanitumia Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Jovetic

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu wakuu

    Ok nmekusoma Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Jovetic

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu wakuu

    Asant sana vp hyo course inahusika na kaz zipi? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom