Recent content by jovapallen

  1. J

    Dodoma: Yaliyojiri Mkutano Mkuu maalum wa CCM, mabadiliko yamepitishwa, Arfi na Machali wahamia CCM

    Mbna umepoteza mda wako kukoment mambo ya ccm, nakushaur tu kama unamsimamo kweli haunahaja yakumaliza MB zako kufatilia updates za ccm jf, kuwa namsimamo bro usiwe kama mnafki vle
  2. J

    Kesi ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi April 3

    Kweli jamaa yangu yani CDM ni hawajielewi sjui wamerogwa Nanan hawa watu chama lote ujanjaujanja tu kuanzia Viongoz hadi wafuasi yote matja na muzangda tuu.... Ila awamu hii yatanyea debe Anko magu kiboko yenu... Ndo kwanza Pcha linaanza....
  3. J

    Agizo la Rais kunyang'anywa Passport Mkandarasi wa Maji

    Dah nataman wana jf wote tungepata upeo Kama wako sema watu wamezoea longolongo....
  4. J

    Tunahitaji wanasiasa wenye calibre ya Tundu Lissu, Godbless Lema na Zitto Kabwe

    We jamaa ujafkiria sawasawa hao unaowasema mashujaa ni walewale kasoro tarehe yanakula posho na kodi ya watanzania bungeni hayana jipyaa....
  5. J

    RC Makonda na balozi wa China waweka jiwe la msingi ujenzi wa uwanja wa bandari, kugharimu $ 450,000

    Hatuwez kujitegemea Kama mawazo finyu Kama yako hayajaisha
  6. J

    Kwanini CHADEMA na upinzani wamekosa hoja za kukosoa utendaji wa Rais Magufuli?

    Unaakili sana jamaa yangu wengi hawalioni hili Yan sasa hivi chadema ni sawa na mwanamke Malaya asiyenamsimamo wala dira kama WEM...
  7. J

    Kitendo cha kumchanganya Pengo na madawa ni cha hatari

    Usikurupuke jaribu kufikiria kabla hujatoa hoja
  8. J

    Freeman Mbowe, jabali la siasa za Tanzania lisilotikisika

    Hana lolote huyo mbabaishaji tu kama wenginee
  9. J

    Masikini Manji, hii ndio Bongo!

    Nahuo ndo ukweli mbona akna dangote,billgates,caros slim wanaheshimu serikali zao Kwani hawa ni akina Nani? Najua hwawez amin saiv ila baadae wataamin tu.... Halafu mwenyenchi angekuwa kama wanavofikiria wao makonda angeshitakiwa lakini KWA magufuli hahaaaa... WAKAJIANDAEE
  10. J

    CHADEMA acheni unafiki mlishawahi kutangaza list of shame

    Fikiria vizur ndugu yangu ivi ukisema hivo chadema walishafanya lipi lililokamilika? Naamin hawa... NIWAPINZANI UCHWARA TU.....
  11. J

    CHADEMA acheni unafiki mlishawahi kutangaza list of shame

    Mimi naamin hii nchi haijapata wapinzani wenyeuchungu nayo hata kidogo.....watu gan nyie hamna msimamoo? Dah inauma sana ama kweli bora ccm waendelee kulikokuwapa nchi watu kama nyinyi eeh MUNGU WASAMEHE....
Back
Top Bottom