Recent content by Joustan p

  1. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Shukrani sana kaka🙏
  2. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Aa sawa, maana nimepigiwa wakaniambia ivyo, ila nashkuru kaka kuwa kunifahamish na tayr wamenitumia leo hii barua ya kazi. Nashkur
  3. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakubwa habar zenu, with all due respect, nlikua naomba kueleweshwa kidogo kuhusu hizi kazi za utumishi wa mahakama, mwezi June 2025 zilitoka kazi kutoka utumishi wa mahakama, na wakaita watu katika usaili mimi pia nilibahatika kuitwa niliomba kada ya assistant record management, ilikuwq ni...
Back
Top Bottom