Ni kweli, mwenye hiyo namba aliwahi kunitumia sms akijifanya kuwa ni mfanyakazi mwenzangu, tena kataja majina yote, eti yuko hospitali nimtumie hela (alitaka 40,000). Alichokosea ni kuwa huyo aliyemtaja, kwa cheo chake asingeweza kuniomba hela, alafu hela yenyewe 40,000. Nilipoenda idarani...