Dunia ya Sasa inapiga hatua kubwa Sana kwenye upande wa TEHAMA serikali inahitajika kuweka mikakati mathubuti kuhakikisha tunapata maendeleo
Technojia Kama matumizi ya akili mnemba bado kabisa, ni wakati sahihi wa kupiga hatua
Ni vyema Sana jamii na serikali kwa ujumla kuchukua hatua katika kutatua kero hii kwa sababu Kila mmoja anapenda kupata elimu katika mazingira mazuri, huwezi kupata wasomi Bora ikiwa mazingira ya wanafunzi na miundombinu kwa ujumla ni mibovu. Suala la wanafunzi kutafutiwa makosa ili wafukuzwe ni...
TEHAMA NA TANZANIA YA KESHO:
Teknolojia ni elimu ya utengenezaji, utumiaji wa vifaa vya maarifa, mashine, mifumo au njia zitumikazo kutatua tatizo kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa jambo Fulani katika jamii. TEHAMA ni kirefu cha technolojia ya habari na mawasiliano, inajumuisha vifaa mbalimblai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.