Kumekuwa na mtazamo tofauti katika kuwahudumia Watoto wenye ulemavu wa akili ambapo jamii nyingi zimekuwa na mtizamo tofauti ambao sio mzuri ambapo huchangiwa sana na kukosa elimu. Ambapo hupelekea kuwanyanyasa na kuwatenga Watoto wenye ulemavu hupeleka hadi muda mwingine kuacha hata kuwapa...
Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni.
(a)Kabla ya Kuzaliwa.
(b) Wakati wa kuzaliwa.
(c) Baada ya kuzaliwa.
(A)...
Ulemavu ni nini!Ni hitilafu ya Kidumu ambayo inaweza kumkuta mtu yoyote yule awe mtu mzima au mtoto kwa nyakati tofauti ambapo inaweza kuwa wakati wa kuzaliwa kabla na baada ya kuzaliwa
Walemavu ni kundi ambalo limetengwa sana na kusahaulika katika Jamii zetu ambapo watu wengi sana tumekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.