Hii hadithi yako ina epsod ngapi niinunue ili niwe nawadanganyia wajukuu zangu!
Naona umri unanikimbia ila stori za uongo sina za kudanganyia wajukuu! :o
Ndugu mwana JF
Ukitaka kujuwa serikali nini tokewa na mambo haya hapa.
Shamba lako likibainika lina-Alimasi linakuwa mali ya Serikali.
Ila shamba lako likibainika lina-Bangi hiyo ni mali yako mkuu! :D
Naomba niishie hapa siwezi kuendelea hadi aje mwanasheria wangu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.