Recent content by Josephvic

  1. J

    Je, Microsoft gani nzuri na yenye umuhimu?

    Ndio software ipi ni nzur??
  2. J

    Je, Microsoft gani nzuri na yenye umuhimu?

    Habari wanaJamiiForums, Mimi naomba kuuliza ni short coz gani nzuri za computer ambazo naweza kusoma kwa muda mfupi na zinazoweza leta faida kwangu Ushauri Tafadhari.
  3. J

    Je, ni chuo kipi kizuri kusoma 'Course' ya 'Information Technology'?

    Habari zenu Wadau wa JamiiForums, Kuna rafiki yangu anaitaji kujua kuhusu chuo kipi kizuri anachoweza kusoma Course ya Information Technology (IT) Yeye amemaliza Form Four (IV) mwaka jana Ushauri wenu tafadhali
Back
Top Bottom