Recent content by josephmara82

  1. J

    Dar es Salaam City in Photos

    Jamani tuwekeeni picha za Dar mpya, kila kukicha vitu vipya wekeni jamani za kitosha mlioko huko
  2. J

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    siku hizi wanawake hasa wake za watu wanamisongo sana ndo maana tendo kwao zero na bongo mabinti wako tayari kwa waume za watu, zawadi huwa HIV tu. sikuamini sana kama ametuliza ndoa ila itakuwa shida baadae ila kwa hilo huna ujanja jaribu kumfuatilia wife anapenda hobi gani kama akiwa hana...
  3. J

    EAC: How Tanzania is shooting herself in the foot

    Majirani walisaliti JUMUIYA kwa kufuata waliodhani watawafaa, na kweli walikomba kila kitu lazima wakubali. Siyo kama wao hawapendi WABONGO ila walidaganywa, angalia makampuni yao mengi na walivyoweka nchi yao hawana lao kabisa sisi tulichekwa sana ila leo kwanini wanataka hata kutumeza ili tuwe...
  4. J

    Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    wewe unabahati sana maake wengine hawapati kabisa, we ongeza kula vyakula vya kuongeza nguvu na kula kula matunda kama matikiti maji umpe raha wala usimpuuze maake inatokea hata wewe unataka sana afu mshauri asile vyakula vyeme stimu sana kama amechemsha ingini
Back
Top Bottom