Tatizo watanzania hamna jema aisee. Hivi kweli utamtizama muhalifu sura na kumtambua... acheni polisi wafanye kazi yao. Mnawakatisha polisi tamaa halaf baadae mnakuja kulalama polisi hawatendi haki.. yani wachawi wa maendeleo ya tz ni cc watanzania wenyewe yani serikali isifanye jambo mtalalama...
Ndio maana kila wakati nasema kuwa kama jambo hujui nibora ukanyamaza tu au kuuliza swali... zile fedha zilitengwa kipindi cha utawala wa JK ktk budget ya 2015/2016 ilaa wakawa hawakupewa kwahiyo sahv Mh Magufuli ndo kaagiza zitolewe... sasa unakuja kulalama hapa eti anamwaga mahela..... jamani...
Umeona sasa ndo hasara ya kutokutumia media sahv unadanganywa na ww unaamini duuuu... elimu, elimu, elimu... hapa ndo nimeanza kuelewa kwann mzee wa watu alikomaa na elimu kwnza
Tatizo Media hazikutumikaa... yani watanzania wengi ni mananga ukifanya kitu kimya kimya yanakuja kupotosha.. ukitumia media yanalalama aise yana kera... haya cheki hilo linalosema hiyo mashine imechukuliwa udom... si linanga hilo
Nyie sindo wale mnaolilia uhuru wa kupata habari kwa wakati tena live... japo sheria haisemi hvyooo... mi naunga mkono kwa serikali kufanya kazi kwakushirikisha vyombo vya habariii.. hii inasaidia kufahamu utekelezaji wa ahadi wa rais kwani kupitia media tunaweza kujua je katekeleza ama laa ili...
Tatizo ww ndo huelewi zinaenda kufanya nn.... nahili ni tatizo la kukurupuka.. mi naona kama kitu hukijuu kwa undani kaa kimyaa.. we kwnza cku ile ulimckiliza Jaji mkuu alisema nn, aliomba hizo hela kufanyie nn au unaropokaa tu watu kama nyie mnatakiwa kuzabwa viboko vyakutosha
Sawa ni kiongozi wa dini na anapaswa kunena yaliyo mema na kweli bila kuegemea upande wowote... lakini yeye ameshaonesha tofauti zake... napia amezungumza kishabiki bila kujua ukwel halisi hayo ni makosa kama kiongozi wa dini.... ni vyema dini ikabaki kama dini na serikali ikabaki kama serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.