Recent content by JOSEPH SHALUWA

  1. JOSEPH SHALUWA

    Wataalamu feki wa mapenzi.....

    Mwenye kuelewa aelewe, asiyeelewa abaki hivyo hivyo, ninachokizungumza ni haki za uandishi dunia nzima. Huwezi kuchukua kazi ya mtu bila kutoa credit. Hizi kazi zina hakimiliki.
  2. JOSEPH SHALUWA

    Wataalamu feki wa mapenzi.....

    Kama una makala yoyote ambayo una ushahidi kuwa nimeitafsiri, iweke hapa. Niaatcha kuandika kuanzia siku hiyo! Si kutafsiri tu, hata kuchukua idea ya mtu. Naandika kutoka kichwani mwangu. Mimi siyo mvivu na ninajua ninachokifanya. Naandika kwa mwaka wa kumi sasa!
  3. JOSEPH SHALUWA

    Wataalamu feki wa mapenzi.....

    Nimesema natafiti... lakini hata ukijua itakusaidia nini?
  4. JOSEPH SHALUWA

    Hadithi ya kusisimua: Mkataba wa siri - 2

    MKATABA WA SIRI – 5 MTUNZI: JOSEPH SHALUWA ILIPOISHIA... "Matusi tunayotukanwa sasa yanatosha. Njoro nzima inatutusi kwa sababu yako. Umetuvua nguo mwanetu." "Ni juu ya nini baba?" "Wewe una tatizo gani?" "Kuhusu nini baba?" "Kwanini hutaki kuoa?" SASA ENDELEA...
  5. JOSEPH SHALUWA

    Hadithi ya kusisimua: Mkataba wa siri - 2

    MKATABA WA SIRI SEHEMU YA NNE MTUNZI: JOSEPH SHALUWA ILIPOISHIA... “Lakini jambo lingine linalowashtua zaidi watu ni tabia yake ya kujipenda kupita kiasi. Muda wote msafi, ananukia marashi, ananyoa vizuri, anavaa nguo nzuri...kwanini ajipende hivyo kama mtoto wa kike? Mchunguze mwanao shoga...
  6. JOSEPH SHALUWA

    Hadithi ya kusisimua: Mkataba wa siri - 2

    MTUNZI: JOSEPH SHALUWA ILIPOISHIA... Msisimko alioupata ulikuwa mkubwa sana. Pamoja na kufikisha umri wa miaka 22, akiwa tayari ameshamaliza elimu yake ya kidato cha nne, hakufikiria kabisa suala la kuoa binadamu. Alitamani kuoa jini. SASA ENDELEA... Aliamini hao ndiyo wangeweza...
  7. JOSEPH SHALUWA

    Wataalamu feki wa mapenzi.....

    KUNA watu humu ndani wanachukua kazi za watu wengine na kujifanya wameandika wao. Nimeona wengi wanachukua makala zangu za magazetini kwenye mitandao na kuziweka humu wakijifanya wameandika wao! Siyo sawa. Buni chako. Nawapongeza wanaochukua kazi zangu na kuandika jina langu kuwa ndiye...
  8. JOSEPH SHALUWA

    Tambua Dalili za Mwanamke anayekupenda kwa dhati katika Valentine hii

    Ndugu, kwanini unachukua mada yangu na kuiweka hapa tena bila jina langu, ukiifanya yako? Jambo hilo si la kistaarabu hata kidogo. Sijazuia kazi zangu kutumika, lakini lazima kuwe na jina langu, msomaji ajue imeandikwa na mimi. Makala zangu zote huwa naandika kwa kutafiti mwenyewe, hata siku...
  9. JOSEPH SHALUWA

    Hadithi ya kusisimua: Mkataba wa siri - 4

    kitabu cha hiyo hadithi kimeshakamilika, ukitaka kusoma chote mwanzo mpaka mwisho, weka oda yako kupitia namba 0713 165690 nikupe maelekezo ya namna ya kukipata.
  10. JOSEPH SHALUWA

    Hadithi ya kusisimua: Mkataba wa siri - 4

    SEHEMU YA NNE MTUNZI: JOSEPH SHALUWA ILIPOISHIA... “Lakini jambo lingine linalowashtua zaidi watu ni tabia yake ya kujipenda kupita kiasi. Muda wote msafi, ananukia marashi, ananyoa vizuri, anavaa nguo nzuri...kwanini ajipende hivyo kama mtoto wa kike? Mchunguze mwanao shoga yangu!”...
  11. JOSEPH SHALUWA

    Meseji ya mapenzi kwenda kwa mwingine, inapopotea njia na kukufikia!

    WENGI WANA MASHAKA KUWA HUENDA MIMI SIYO JOSEPH SHALUWA, KAMA WENGI WANAVYOULIZA. NDIYO MIMI MARAFIKI ZANGU! KAMA KUNA AMBAYE HAAMINI AJE HAPA: FACEBOOK: Joseph Shaluwa TWITTER: Joseph Shaluwa BLOG: Shaluwanew.blogspot.com EMAIL: Joeshaluwa@gmail.com
  12. JOSEPH SHALUWA

    Meseji ya mapenzi kwenda kwa mwingine, inapopotea njia na kukufikia!

    Habari? Vipi mfano unapokea meseji kwenye simu yako, unaangalia unakutana na maneno kama: "Hi darling, nafurahi kuwa u mzima, please naomba jioni tukutane, uniambie mapema utapenda hoteli gani, ya Magomeni au Ilala. Nina hamu sana na wewe sweetie... Hiyo ni meseji kutoka kwa mpenzi wako (wa...
  13. JOSEPH SHALUWA

    Hadithi ya kusisimua: Mkataba wa siri - 3

    MTUNZI: JOSEPH SHALUWA ILIPOISHIA... Msisimko alioupata ulikuwa mkubwa sana. Pamoja na kufikisha umri wa miaka 22, akiwa tayari ameshamaliza elimu yake ya kidato cha nne, hakufikiria kabisa suala la kuoa binadamu. Alitamani kuoa jini. SASA ENDELEA... Aliamini hao ndiyo wangeweza...
  14. JOSEPH SHALUWA

    Hadithi ya kusisimua: Mkataba wa siri - 2

    MTUNZI: JOSEPH SHALUWA ILIPOISHIA... “Lazima niwapitie wenzangu kwanza.” “Wako wapi?” “Si mbali, ni hapo Tangibovu.” “Kwa hiyo?” “Twende, we fuata maelekezo yangu tu.” “Sawa.” SASA ENDELEA... GARI lilipofunga breki tu, tayari wale watu walishafungua milango na kuingia ndani...
  15. JOSEPH SHALUWA

    Simulizi: Mkataba wa siri

    Inakuja muda si mrefu.
Back
Top Bottom