Recent content by Joseph Nyoni

  1. J

    SoC04 Tukuze uchumi kupitia sera ya ongezeko la watu hadi milioni 150

    Na Joseph Nyoni Kama kuna kitu muhimu katika taifa ni idadi ya watu. Ongezeko la idadi ya watu hupelekea taifa kuwa na maendeleo makubwa. Ndiyo maana mataifa mengi ambayo idadi ya watu imeongezeka kwa kasi na maendeleo yamekimbia harakaharaka. Mfano mzuri ni taifa la China ambalo lilipata...
  2. J

    SoC04 Mambo yatakayochochea ukuaji katika sekta ya utalii

    Na Joseph Nyoni Tunapozungumzia utalii nchini tunazungumzia Taifa linalopata watalii kati ya milioni 1.5 hadi milioni 2 kwa mwaka. Na tunapozungumzia Afrika katika mataifa yanayoongoza katika sekta ya utalii tunazungumzia mataifa matatu ambayo yanafanya vizuri kwa miaka kadhaa mfululizo yaani...
  3. J

    Hizi ndio Tabia za Mzalendo

    TABIA ZA MTU MZALENDO Na Joseph Nyoni Uzalendo nini? Uzalendo ni ibada ya kulipenda, kulitumikia na kulitetea taifa katika hali yoyote pamoja na kutanguliza maslahi ya taifa. Zifuatazo ni tabia za mtu mzalendo 1. Analipenda taifa lake na hawi tayari kuliona taifa lake linaingia kwenye shida...
  4. J

    SoC04 Tanzania Ijayo

    😅🙏
  5. J

    SoC04 Tanzania Ijayo

    TANZANIA IJAYO Joseph Nyoni Nikiwa kama mtanzania, napenda kuchangia mambo kadhaa ambayo yatakuja kuinua taifa hili na kufanya liwe na maendeleo makubwa. Endapo mambo haya yatafanyika basi miaka 25 ijayo hatutatembea tena bali tutakuwa katika marathoni ya maendeleo; Kwanza serikali ishawishi...
Back
Top Bottom