Recent content by JOSEPH MATARE

  1. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni: CCM haifai na sababu ni hizi...

    asante sana kamanda kwa ujumbe huu. Ujumbe huu unastahili kusikilizwa live na watanzania wote!!!!!!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Matiko matare ni mwamba usiotikisika(unshakable rock)

    Sio majigambo wala makeke hilo ndilo jina langu la mapambano-UNSHAKABLE ROCK! Pole sana kwa kutolijua jina hilo. Nashukuru kwa ushauri ila mimi si mwenda pole wakati adui anaenda haraka.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Matiko matare ni mwamba usiotikisika(unshakable rock)

    Mimi ndiye JOSEPH MATIKO MATARE ambaye makomredi wa UDSM enzi hizo mnamtafuta.Pole sana makomredi kwa kunipoteza kwa muda mrefu nilikuwa ninajiimarisha sasa ninarudi kushirikiana na wanaukombozi wenzangu kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa THE VULTURES OF THE VULNERABLES.
Back
Top Bottom