Recent content by joseph Goebble

  1. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mangula na Kagenzi kutuhumiwa kumlisha Sumu Dr Slaa, CCM fahamu kuwa

    Mkuu naomba unirushie huo uzi uliousave kwenye pm yangu kama inawezekana maana inaelekea una data za kutosha, kama haiwezekani basi nakupm email yangu unirushie. Pamoja sana!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    mkuu na mimi nirushie hiyo taarifa orijino isiyoeditiwa. please
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya mapinduzi ya Ufaransa na ESCROW,"wanalilia mkate, kwani keki hakuna!

    Marie hakuwadharau wananchi, ila kwa jinsi alivyokuwa hajui maisha ya wananchi wa kawaida yakoje, alishindwa kabisa kuelewa kama mtu ukikosa mkate kwa nini uandamane, si afadhali ule keki. This is a typical situation we have with our leaders, they have completely lost touch with the society...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete na Mkewe, Mama Salma wahani msiba wa John Komba, waguswa na majonzi makubwa.

    mungu huyohuyo unayemjua, mbona ule uchochoro mliokuwa mnautumia kupata taarifa za kamati kuu ya chadema "shida salum" tulimwomba aturekebishie, na akarekebisha kweli, halafu mwanae tukamfukuza. Mlifikiri tulikuwa hatujui. Kuwafukuza wote wawili isingewezekana ingeonekana tunawaonea, kwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete na Mkewe, Mama Salma wahani msiba wa John Komba, waguswa na majonzi makubwa.

    Laiti Mungu angewachukua wanaCCM kana kumi hivi kutoka kwenye kamati kuu kabla ya mwaka huu kwisha, angekuwa ametufanyia jambo la maana sana watanzania. Ingawa Mungu alipoteza nafasi muhimu sana wakati wa bunge la katiba, angelichukua bunge lote tu. Hapa CCm walipotufikisha tunahitaji msaada wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wadudu wamekula mbao za dari, paa linataka kudondoka. Mtaalamu wa dawa anisaidie ushauri

    Wakuu nashukuruni kwa ushauri, nitaufanyia kazi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wadudu wamekula mbao za dari, paa linataka kudondoka. Mtaalamu wa dawa anisaidie ushauri

    Wakuu shikamoni, Paa la nyumba yangu limeliwa vibaya na wadudu ambao siwafahamu, siyo mchwa, wako kama mende weusi wembamba kidogo kwa mende, wanapokuwa kwenye mbao wanakuwa viwavi (caterpilar) wanakula mbao ndani kwa ndani huku wakiacha matundu kama yanavyoonekana kwenye picha. Wakishakula...
Back
Top Bottom