Recent content by joseph fuime

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa kama CHADEMA watapata walau Mwenyekiti mmoja katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Maandalizi yanayoendelea ni ya kubaka demokrasia
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Nyinyi wizara ni walezi wa wasanii mchukue jukumu lenu la kuwalea hao vijana. Pia muwe tayari kukosolewa na kujisahihisha nyinyi sio miungu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Njaa mbaya Sana
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Katiba yaja baada ya kuutafuna upinzani Bungeni

    Makubwa hayo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, wamefanikiwa kutoa kipande cha chuma kilichokuwa ndani mwili wa Lissu

    Mungu mkubwa yeye ni mwenye huruma atakuponya komred Lissu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

    Kwani kwenye kata hizo ulizotaja kulikuwa na uchaguzi au unyang"anyi?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

    Kama hali iko hivyo mi hatari sana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Ruvuma unaiua CHADEMA Songea

    Mimi ni cdm na nitabakia kuwa cdm kinyume na matakwa ya baadhi ya maadui zetu wanavyotaka iwe.Napenda kuwahakikishia wanachadema wenzangu tutafanyakazi pamoja na kwa bidii zaidi
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    Mwenyezi Mungu amjalie afya njema na ulinzi wake mkuu ili aje kuwakomboa wana watanzania wanaoteseka na serikali ya kifisadi ya ccm.Tunamtakia mkutano mwema
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nina Imani kubwa na CHADEMA - Prof. Baregu

    Kweli kabisa kiongozi umenena tegemeo pekee kwa watanzania ni chadema tu.Changamoto tunazopitia ni ishara tosha ya kufanikiwa kwetu,kwani tunavuka vikwazo vingi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi lichukue nchi 2015 wakati tunaandaa viongozi waadilifu

    Rais ajaye ni dr slaa tu mwenye uwezo wa kurejesha nidhamu ya taifa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atusihi tumsikilize Zitto Kabwe leo saa 7 mchana DW

    Watanzania tuwe na uchungu na kodi zetu tusiwaachie ccm wajikague wenyewe kwenye sakata hili la fedha za hapo benki kuu
Back
Top Bottom