Recent content by Joseph Buberwa

  1. Joseph Buberwa

    Mahakama Urusi yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

    Mashahidi hawajiungi na heshima kwa sababu wanaamini wanadamu wote duniani ni ndugu. Kwa hiyo vita kati ya taifa na taifa si sawa ni Mungu pekee ambaye anaweza kutoa hukumu sahihi wakati wake ukifika. Ni kama watu waovu katika jamii tunaambiwa wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. He jamii nzima...
  2. Joseph Buberwa

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    La mkopo lilikuwa mwaka 2012, lengo kuu kuna maagizo makuu yanayopaswa kutimizwa hapa duniani yakisimamiwa na Tanzania. Lakini sasa Mungu ameelekeza watawala wakipuuza ujumbe wote huo, basi Mungu atalipa jukumu hilo taifa linguine la Afrika Mashariki
  3. Joseph Buberwa

    Maisha bora duniani yamsubiri mh. Kikwete kuyaidhinisha (muhimu kusoma)

    Ndiyo itabidi afanye vile ambavyo Mungu Muumba wa mbigu na dunia anataka afanye. Akikaidi tunajua Musa wa kale alitumwa kwa Farao akakaidi; alipatwa yeye na taifa mapigo 10. Binadamu huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Makusudi haya ni ya faida ya wanadamu duniani.
  4. Joseph Buberwa

    Maisha bora duniani yamsubiri mh. Kikwete kuyaidhinisha (muhimu kusoma)

    Emmamkoloni na wanajamii wengine nimegundua wengi mnasoma kichwa cha habari na kutoa comments bila ya kusoma maelezo. NIMESEMA TANZANIA IMECHAGULIWA NA MUNGU KURATIBU MIPANGO YA MUNGU ANAYOTAKA KUIFANYA DUNIANI NA USA NA UK MUNGU AMEZITEUA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI HUO DUNIANI. NA MATOKEA NI: 1...
  5. Joseph Buberwa

    Maisha bora duniani yamsubiri mh. Kikwete kuyaidhinisha (muhimu kusoma)

    WANAJAMII SOMA JIBU HILI MKIWA VERY SERIOUS Wanajamii Mungu huwa hamumunyi maneno kama binadamu; huwa anaeleza fact ni kufuata au kutofuata upate adhabu yake. Na Mungu huwa anasema na wanadamu kwa sasa kupitia mwanadamu kama wakati wa Musa. Musa alikuwa wazi kwa Farao akisema wape Israeli...
  6. Joseph Buberwa

    Maisha bora duniani yamsubiri mh. Kikwete kuyaidhinisha (muhimu kusoma)

    Nimesema kulikuwa na mtikisiko mkubwa wa familia yangu na katika yotehakuna ambaye nilimdanganya. ila waandishi na wahusika wanaposhindwa mashartina vigezo kwenye public wanaweza kusema lake ili kuvuta kwao (muamba ngomauvuta kwake). Mambo ya binti Sara yalikuwa wazi tokea siku ya kwanza...
  7. Joseph Buberwa

    Maisha bora duniani yamsubiri mh. Kikwete kuyaidhinisha (muhimu kusoma)

    Unamkumbuka Farao wa Misri alifikiri mfalme powerful hatishiwi nyau hata Mungu hamtishi. Ilitokea nini? Mapigo 10 na hatimaye akawaruhusu Israeli kwa lazima. Na Mh. Kikwete si zaidi ya Mungu na si zaidi ya Farao ni kufuata maagizo ya Mungu ambayo ni mepesi kuliko kukutana na wasanii waliopata...
  8. Joseph Buberwa

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    Historia nilikuwa naelewesha wachangiaji ambao wamekuwa wakitukana kuwa mimi mwizi, tapeli, njaa, kichaa n.k. Historia ya unabii ni: In Deuteronomy 18:18, 19, the True God, through his prophet Moses, about 3,500 years ago prophesied that, "A prophet I shall raise up for them from the midst of...
  9. Joseph Buberwa

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    Ni kweli kusimamia unabii si kazi ndogo unapambana na Shetani na wafuasi wake wote wa kiroho na kimwili
  10. Joseph Buberwa

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    MUNGU AMEIPA TANZANIA KARIBU MIAKA 4 KUTEKELEZA MAAGIZO YAKE BILA MAFANIKIO KARIBUNI MUNGU ATABADILISHA MAKUSUDI YAKE KWA KUITEUA UGANDA AU CONGO AMBAZO MARAIS WAKE WANA PIA INITIALS "JK" Wanajamii na taifa; karibuni Mungu ataicha Tanzania kutekeleza makusudi yake na badala yake kuiteua Uganda...
  11. Joseph Buberwa

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    Umeuliza vema. 1. NDA ni za makampuni maalum yaliyoko Marekani na bara Asia siyo nchi 2. Unafahamu benki za Tanzania mpaka uwe na asset na biashara ambayo imeishakuwa na cashflow inayolingana na mkopo unaotaka. Ingekuwa nchi nyingine wangetizama projection ya projects. 3. TFDA na TCRA...
  12. Joseph Buberwa

    Maisha bora duniani yamsubiri mh. Kikwete kuyaidhinisha (muhimu kusoma)

    Watumishi wa Mungu wa kweli au manabii ni watu kama wanadamu wengine, wanakosea na kujirekebisha kama wengine. Unakumbuka akina mfalme Daudi, Sulemani n.k.?
  13. Joseph Buberwa

    Maisha bora duniani yamsubiri mh. Kikwete kuyaidhinisha (muhimu kusoma)

    Si kila namba zimaniishe mipango ya freemason kuna namba ambazo freemason wanazitumia wamezitoa kwenye maandiko; ndiyo maana utakuta siku 3 au watu 3 katika maandiko. This is real event to happen on our life
  14. Joseph Buberwa

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    Nafikiri masikini watu wengi ni wepesi wa kujibu kabla ya kusoma na kutafakari. Pole, sometime seriousness is better
  15. Joseph Buberwa

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    Asante Candid, wengi wanapuuza lakini wakati wa Mungu kufanya tukio kubwa la tatu hapa duniani umefika baada ya kuleta gharika na kukomboa taifa la Israeli wakati wa Musa. Sasa anataka kukomboa dunia nzima
Back
Top Bottom