Habar wapendwa naomba nilete feedback hapa km nilivyo haid
Kwa bahat mbaya mda ulipofika cku kufanikiwa kuchukua kwani nilie kuwa namtegemea alipata changamoto kubwa hali iliyopelekea kushindwa kufanya kile tulichopanga so nikaamua kufanya plan b
Plan B ———> BODA BODA
niliamua kununua boda...
Ndugu wapendwa wawekezaji kama mm jana mwaka Jana kuna mfuko mwingne unaiitwa FAIDA FUND upo chin ya watumish housings
Malengo na madhumuni ya mfuko huu n kama ule wa LIQUID FUND (UTT)
Kwa wanao ufaham plz embu tuelezen je na wenyewe n mzuri kwa kuwekeza ukizangatia huu bado mchanga tofaut na...
This nmeipenda mnooo kwan niko kweny hatu a ya awali ya kusoma zaid maana ya hisa kabla sijaanza kuwekeza nashukulu san kwa hii taarfa ndugu nakuomba utoapo taarfka nyingne pls Fanya namna nijue nko tayal kujifunza hata km unaandaa semina or kun wasap group niko tayal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.