Recent content by jose1989

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Subiri 2 years baada ya miaka miwili kama ujakutana kimwili na mwenza wako ndoa inavyunjwa kiserikali, Kwani una mda gani mpaka sasa.
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Wachungaji nao hawaangalii mtu jinsi anavyojisikia yani emotional mtu yupoje
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Angali wanajua kuwa umuhitaji kabisa , daaa hilo baraza la suruhisho linapatikana wapi?? Mahakamani au ustawi wa jamii??
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    CH hasira na wewe acha lugha za mitaani
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Kaka punguza hasira , wewe ulijuaje mke wa kaka yako alikuwa bikira???? Eti ulimfunua utupu wake.
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Ila sheria inasema wanandoa wasipokutana kimwili kwa muda wa miaka 2 ndoa inavunjwa. Wewe ishu yako inamuda gani kaka??
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Haya mambo hapo familia mzima washajua kuwa binti yao alifanya hivi. Watu wa kanisani washajua kuwa huyu dada alishawahi fanya hivi. Daaa sijajua ana hali gani huko huyo mkeo bro. Pole sana.
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Kumbe hamjaachana na kupeana taraka?
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Daaaaa, naona watu wanachukuria mepesi haya mambo
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Kaka viongozi wa dini walikuwa wansemaje ulivyowaambia daaa. So sand.
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Daaa inauma acha nikijiangalia mimi mpaka namaliaza chuo sijawahi sexy na binti yoyote yule wa mtu. Nilikuja kusexy first time na malaya tuu tena wakununua tuu basi nikaacha. Naamini hata anaweza akawa na vitu vingi vya onvyo huko nyuma. Naumia sana nigejua ningemuacha before.
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Mkuu ngoja nikupe experience yangu iliyonikita mimi. Nilikutana nae kwenye kazi zetu za afya hizi. Nilikaa nae kama mwaka na nusu kwenda miaka 2, siku moja katika kuongea maisha ya mda uliopita ambayo kila mmoja anajuta kufanya. Yeye aliniambia kipindi anamaliza mtihani na kuondola shule...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu umefunguaje account hapo kwenye sportybet mimi inagoma mkuu
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupima DNA kwa lengo la kujua uhalali wa mtoto kunatoa majibu sahihi?

    Kama mama mond
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupima DNA kwa lengo la kujua uhalali wa mtoto kunatoa majibu sahihi?

    Niliwahi sikia afisa mmoja wa ustawi wa jamii anasema hawapendi kuona ndoa inavunjika.
Back
Top Bottom