Recent content by Josbet thobias

  1. Josbet thobias

    Kwa wanaoifahamu Zambia; Msaada tafadhali nahitaji kwenda kufanya biashara huko

    Maeneo gani maana mm nipo hapa dar sijui hata fununu za kipande hicho
  2. Josbet thobias

    Kwa wanaoifahamu Zambia; Msaada tafadhali nahitaji kwenda kufanya biashara huko

    Ni mji gani ambao unaweza kupiga mishe za urembo Zambia
  3. Josbet thobias

    Kwa wanaoifahamu Zambia; Msaada tafadhali nahitaji kwenda kufanya biashara huko

    Unaweza kunisaidia kujua gharana za usafiri kufika huko
  4. Josbet thobias

    Ushauri: Biashara ya saluni ya kike kwa nchi ya Zambia na Mozambique

    Vp lakini huko Zambia mji gani ambao utakuwa pow
  5. Josbet thobias

    Ushauri: Biashara ya saluni ya kike kwa nchi ya Zambia na Mozambique

    Jamani wana jamii nini nahitaji kufanya biashara ya saluni ya kike (kutengeneza kucha+kupaka rangi + pamoja na kuweza kope za bandia) lakinini abroad nchi mbili hizi za Zambia[/USER] +Mozambique. Nilihitaji kwenda yeyote mwenye uzoefu za maeneo hayo au kazi hiyo anisaidie maana vijana...
  6. Josbet thobias

    Doing Business in Mozambique

    OK but kuna jamaa juzi niligusia ishu hiyo akasema inalipa maeneo ya Pemba/nampula
  7. Josbet thobias

    Doing Business in Mozambique

    Oya hivi bado upo huko nampula mid nahitajj kuna huko nahisi itakuwa njema mkiwa wenyeji wangu
  8. Josbet thobias

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Jamani mm naomba ushauri nahitaji kwenda Mozambique kwa biashara za kutengeneza kucha,kupaka rangi pamoja na kubandika kope,naombeni ushauri wenu kama inalipa na sehemu gani inaweza kufaa
Back
Top Bottom