Recent content by joroye

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mwanza mjini

    nyumba ya aina gani hiyo mkuu, thamani ya ardhi hukua na aishuki,me naamini b aada ya mda bei katika maeneo hayo napo uza kiwanja itapanda zaidi kwani ni eneo ambalo chuo cha sauti wanafungua branch,nafikiri patakuwa na ushindani kama ilivyo nyegezi leo hii
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mwanza mjini

    jamani naendelea kuwakaribisha
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mwanza mjini

    ndugu husika na mada tajwa Kiwanja chenye viwanja viwili ndani yake medium density kila kimoja kinauzwa. kipo eneo la buhongwa mjini,kilomita moja kutoka buhongwa stand. Gharama ni million 20. karibuni Kwa mwenye nia na kiwanja ni PM kwa mawasiliano zaidi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Sautso is an extension of saut managment, and not an independent board, hivyo usitegemee lolote kutoka uongozi wa wanafunzi wa chuo hicho, uongozi wake ni tofauti sana na uongozi wa vyuo vingine
Back
Top Bottom