Kiwanja kinauzwa mwanza mjini

Kiwanja kinauzwa mwanza mjini

joroye

New Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
4
Reaction score
0
ndugu husika na mada tajwa
Kiwanja chenye viwanja viwili ndani yake medium density kila kimoja kinauzwa.
kipo eneo la buhongwa mjini,kilomita moja kutoka buhongwa stand.
Gharama ni million 20. karibuni
Kwa mwenye nia na kiwanja ni PM kwa mawasiliano zaidi.
 
bei kubwa muno huku nyakato unapata house ya 20 mil
nyumba ya aina gani hiyo mkuu, thamani ya ardhi hukua na aishuki,me naamini b aada ya mda bei katika maeneo hayo napo uza kiwanja itapanda zaidi kwani ni eneo ambalo chuo cha sauti wanafungua branch,nafikiri patakuwa na ushindani kama ilivyo nyegezi leo hii
 
Km moja kutoka hapo buhongwa stand,unauza kwa m20?.
Fanya m10.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom