Recent content by Jorojoro

  1. Jorojoro

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za TTCL upande wa T Pesa inasumbua na hakuna utaratibu wowote

    TTCL (T Pesa) inasumbua wateja wanashindwa kutoa fedha zaidi ya muda wa siku nne mfululizo na hakuna majibu yanayoridhisha kutoka kwa customer care Majibu yao ni "Kuna hitilafu ya kiufundi tunalifanyia kazi" Ni vyema Serikali itoe muafaka wa suala hili huu mtandao ni kero kwa wananchi.
  2. Jorojoro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amekuwa blocked kwenye simu zake zote baada ya kuachana hali ya kuwa wana mtoto

    Mungu akutie nguvu
Back
Top Bottom