Recent content by Jordan_5

  1. J

    JamiiForums Tanzania SAUT wamjibu Mdau "Inapotokea changamoto mwanzo wa mwaka wa masomo, zinashughulikiwa ngazi ya Idara."

    MAJIBU YA CHUO HAYAJIBU HALI HALISI TUNAYOPITIA WANAFUNZI Tunashukuru kwa majibu yaliyotolewa na uongozi wa SAUT kupitia Afisa Uhusiano na Mawasiliano. Hata hivyo, kwa heshima, tunaona kwamba majibu hayo hayaakisi kikamilifu hali halisi tunayopitia wanafunzi wa mwaka wa tatu na wa nne wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded SAUT MWANZA: Udahili Unaongezeka, Miundombinu Iko Wapi?

    uongozi wa chuo hausikilizi mtu wanaleta porojo ni kama hawajali wanafunzi wao. kazi yao ni kupokea ada tu
  3. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded SAUT MWANZA: Udahili Unaongezeka, Miundombinu Iko Wapi?

    kwakweli maana unatoa ada 1.5milion alafu unakuja kukaa chini na hiki ni chuo kikuuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded SAUT MWANZA: Udahili Unaongezeka, Miundombinu Iko Wapi?

    nipo masha mkuu
  5. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded SAUT MWANZA: Udahili Unaongezeka, Miundombinu Iko Wapi?

    KERO: HALI YA MIUNDOMBINU YA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT), MAIN CAMPUS MWANZA Ninaomba kuwasilisha kero inayotukabili wanafunzi wa degree katika Chuo Kikuu cha St. Augustine cha Tanzania (SAUT), Main Campus, Mwanza. Changamoto kubwa ni kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi na...
Back
Top Bottom