Mkuu pia naona labda ungesema kwa elimu ya zaman miaka yanyuma ilikuwa ngumu kidogo tofauti na ya kipindi cha sasa mambo mengi yamelaisishwa na vitendea kazi vingi ata mwalimu mwengi sana shule nyingi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wa vyuoni chemistry yao inaonekana simple sababu mwalimu ndo anae define kilakitu na kufanya mambo yawe lahisi sio mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ngoja tuone wana jamii wanasemanje ikawa nikwer inategemeana sana au kutokana na ngazi ipi sababu inaonesha chuo mwalimu ndio kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikwer kabisa na nimekuekewa boss ata mzazi anamchango wake kufikisha gurudumu hili watu wamesahau kina mzazi pia but ata kufel kwa mwanafunzi atamzazi anaweza kuchangia pia.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwahizi shule za private nazo zipoje sababu watu wanasema watoto hutafuniwa kilaki2 Nazi yao nikumeza tu kutokwa kwa walimu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.