Mchagua kazi wakati hana sifa ya kazi ile aitakayo ni sawa na yule mtu apendaye kuwa kiongozi wa nchi na wakati misingi ya uongozi haijui,jamani eeh tusichague kazi maana kazi ni kazi madamu isivunje taratibu za nchi na ikupatie kipato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.