Kiukweli me sio mshabiki wa siasa ila ni mzalendo na napenda kuona maendeleo katika nchi yangu. Na mm naamini watanzania hasa vijana tunachelewesha maendeleo ya nchi yetu kwa kuendelea kuacha chama kimoja kiendelee kutawala nchi kwa mda mrefu na hicho chama kujiona nchi ni ya kwake hivo hata...
Hii nchi itabadilishwa kwa kuunda selikali kupitia vyama vya upinzan na sio kuishia kwenye ubunge tu na kutegemea mabadiliko makubwa.wote tunashuhudia wabunge wetu wa upinzan wanavopambana japo ni wachache so tuwaamini tuwape wapinzan nchi. Tukiwa na utamadun wa kubadilisha vyama watafanya vzr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.