Recent content by joqblack king

  1. joqblack king

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Mimi nimefanikiwa kuvuka shida kwenye kupreview tuu
  2. joqblack king

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Mimi nimefika hapa na inaniandikia ivo na Kila kitu kipo sawa sjui shida ni nini naomba msaada pia
  3. joqblack king

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Wee umeweza kuvuka kipengere cha guarantor vizur kabisa?
  4. joqblack king

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Sote bado tuko hapo hapo kama ukifanikiwa kujuwa nini tatizo usiache kutujuza Haswa kipengele cha guarantor
  5. joqblack king

    Msaada: Kutuma maombi HESLB

    Ndio nimepata ndugu sasa sijui shida nini maana siku ya Sita Leo bado iko loading..... kwenye kipengele cha guarantor
  6. joqblack king

    Msaada: Kutuma maombi HESLB

    Tatizo lako ni Kama langu pia Kama ukifaniki tatizo lako ni Kama langu tafadhali ukifanikiwa naomba msaada pia nifanyeje
Back
Top Bottom