Recent content by Jonh-B

  1. Jonh-B

    Naombeni msaada wenu juu ya kupata pesa online/ networking market and internet

    ahsante sana mkuu nashukru ngoja nifanyie kazi
  2. Jonh-B

    Naombeni msaada wenu juu ya kupata pesa online/ networking market and internet

    Ndugu zanguni nimatumaini ynagu nyote wazima wa afya Kwa uzi huu naombe kujua ni namna gani watu wanapiga pesa kupitia technologia ya mtandao, kwa maana nimekuwa nikisikia kuwa unaweza kujiuunga na baadhi ya application na ukapata pesa ya kukimu maisha. Baada ya kusikia hivyo haraka haraka...
  3. Jonh-B

    Natamani kujifunza mengi zaidi kuhusu namna ya kuingiza hela kwa kutumia intaneti

    Habari nduguzanguni, Kwa hekima nawaombeni mnisaidie kuhusu hili jambo kuwa mitandao na internet kuna fursa za kujipatia pesa na ukaishi kwa kupunguza stress za maisha kwa access ya internet! Tangu nimesikia kuhusu hili na kukomaa kufatilia youtube chanel tofautitofauti na sehemu nyingine na...
  4. Jonh-B

    Nombeni mnijuze kuhusu aptitude test interview TAKUKURU

    Sawa nashukru nimepata nguvu ya kusubiri mkuu acha niwape nafasi, watakuja watujuze tuu
  5. Jonh-B

    Nombeni mnijuze kuhusu aptitude test interview TAKUKURU

    Amina! lakini wanatia hofu sana, wangetoa ili tuangalie tumeangukia wapi
  6. Jonh-B

    Nombeni mnijuze kuhusu aptitude test interview TAKUKURU

    Ndugu zanguni tangu tarehe 08/01/2022 kulifanyika aptitude test interview ya investigation office and assistant investigation kwa seem kama UDOM, MIPANGO, AND ST.JOHN wakasema watatoa majina kwa ambao watapass, naombeni kuuliza bado hawajatoa na hutoa baada ya muda gan?
Back
Top Bottom