Samahani nahtaji kupata msaada wa maelezo na ujuzi kidogo kuhusu vitu vitatu tu.
1. Ethical hacking
2. Computer forensics
3. Intrusion detection & security monitoring
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Ndugu zangu nahitaji msaada kwa mtu yeyote mwenye uelewa vizuri kuhusu cyber security kama yupo humu ili aweze kunisaidia baadhi ya vitu kuhusu cyber security pia kama atakuwa anapatikana mkoa wa Dar es salaam itakuwa njema zaidi. Whatsap number 0788491371
Jaman me ni beginer yaan sijaelewa kitu ila ngoja niingie tu nianze na hatua ya kwanza nitakapoishia ntatoa taarifa mnisaidie maan nimejaribu kupitia comment zote lakin bado mambo magumu
Jamani nimeibiwa simu yangu ni samsung nataka kuitafta lakini sina imei number nilienda police wakasema mpaka nilete imei lakini box la simu nilishapoteza nimejaribu kutafta imei kupitia google dashboard lakini hainiletei imei inaleta jina la simu tu. Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.