Vitu 6 vya msingi kukuwezesha wewe kuwa mdukuzi(Hacker).

xpl0it

Senior Member
Feb 21, 2014
124
88
Kudukua haijawahi kuwa kazi rahisi. La hasha! Lakini watundu wengi wa kompyuta wanataka kuwa wadukuzi. Kuwa mdukuzi ni rahisi. Kitu kigumu ni kuwa mdukuzi mzuri. Leo ntatoa dondoo za kuwa mdukuzi mzuri. Kuwa na ujuzi mzuri katika kompyuta ni kigezo cha wazi kwako wewe kuwa mdukuzi, hivo sitagusia hilo hapa chini.

file.php

Taswira ya Mdukuzi

1)Kuwa wa kisasa

Unatakiwa kuwa karibu na vyombo vya habari na kujua ni software gani mpya imetoka katika soko la software. Kuwa na mazoea ya kuperuzi kwaajili ya kupata software ya kisasa itakayoweza kukusaidia kudukua. Hata hivyo, teknolojia na sayansi zimefanya vitu kuwa rahisi zaidi, hivo zitumie vizuri. Upya wa teknolojia, ndio uharaka wa kazi kufanyika.

2)Kuwa mvumilivu

Uvumilivu ni sifa mojawapo ambao kila mdukuzi hupaswa awenayo ndani. Kama vile walivosema,Roma haikujengwa kwa siku moja, hivo-hivo kwa udukuzi. Kama unafikiri kudukua profile ya mtu au kitu kingine ni kazi ya siku moja au mbili, nasikitika kusema kwamba umekosea! Kudukua kunahitaji uvumilivu na vile vile kuchunguza mara kwa mara pia, kwa kuwa katika mazingira mengine inaweza ikachukua takriban wiki moja au mbili kudukua profile ya mtu.

3)Kuwa mtazamaji/mchunguzi mzuri

Sifa huu itakusaidia katika kufanya makadirio/makisio. Mtazamaji mzuri ni yule anayetazama vitu kwa umakini na kuviweka katika ufahamu wake kwa kuwa hujui nini kitakuja baadae na wakati wowote itakusaidia. Sasa, wakati wowote ukitembelea tuseme , facebook profile ya mtu, tazama vitu kwa makini kama miziki, muvi, page za facebook na kadhalika anazozipenda huyo mtu.

4)Mkisiaji bora

Baada ya kupata undani wa mtu kutoka kwenye profile yake ya facebook, lengo lako la msingi ni kudukua e-mail address yake ya msingi anayoitumia. Kuna kipimo kinachoamua uko vizuri kiasi gani katika kukisia. Sawa, hapa simaanishi kwamba ukisie passwords(nywila), lakini unaweza ukajaribu kujibu maswali ya usalama(security questions). Na undani(details) za yule mtu zina uwezekano wa hali ya juu kuwa na majibu ya maswali hayo.

5)Usipuuzie vitu vidogo

Kwa vitu vidogo namaanisha kuwa unavitu ambavyo hujawahi kufikiri kuvipa umakini wowote, hapo ndipo unapokosea. Naam, hata kipengele/dondoo ndogo na isiyohitajika kuhusu mtu kinaweza kudhihirisha umuhimu mkubwa sana baadae. Sifa hii inahusianishwa na sifa ya mtazamaji mzuri na hivo kuwa mkisiaji.

6)Mshawishi mwenye ufanisi wa hali ya juu

Unatakiwa uwe na ujuzi wa kushawishi vizuri ili uweze kumfanya mlengwa wako aweze ingia katika tovuti tapeli yako. Sasa, ni ngumu kidogo kumshawishi mtu kwa upande mmoja, lakini ndio kama uko kwenye kadaraja la juu la ushawishi, uko karibu kufanikiwa.

Siku zote kumbuka - Wakati unadukua usifikiri kunaguarantee yoyote na uhakika wa kupenya kwenye account au system ya mtu yeyote. Mara nyingine unatakiwa uonje kushindwa pia. Kama wasemavyo,penye nia pana njia, hivo jaribu njia nyingine. Kama vile njia ya kukisia imeshindikana mara nyingi, nenda tengeneza tovuti tapeli(phishing website). Kama hiyo pia imefeli, jaribu kutumia kinakili tarakimu(remote keylogger). Hivo, kunanjia nyingi sana kudukua kitu na njia moja wapo inaweza kufanikiwa kabisa lasivyo unayemlenga yupo makini sana na anauelewa wa hali ya juu katika kompyuta pia.

Jaribu kujizuia - Hupaswi Kujiamini kupitiliza.Siku zote usimdharau mlengwa wako na kumchukulia mjinga.Siku zote panga njia zako za baadae mbadala wa ile itakayokataa.Kitu kingine unanjizuia ni kujitangaza, ujuzi na mbinu zako.
Fahamu hilo.

Dhidi ya maanzilisho - Wadukuzi hawana heshima juu ya serikali, biashara kubwa, na mashirika makubwa, fedha nyingi.Vitu hivi havina umuhimu katika maisha ya wadukuzi.

Kama wewe ni mdukuzi mzuri, kila mtu atajua jina lako; lakini kama wewe ni mdukuzi bora, hakuna atakaye kufahamu wewe ni nani!!!

Umeenjoy Post hii? Usisahau kushare na wenzako wapate kujifunza! Unakaribishwa pia kupost comment.
 
Hawa watu wanawekeza muada wao mwingi ndani, yani mtu anaweza kuwa ndani jumatatu akatoka jumatano kwenda kununua vocha dukani na kutoka tena jumamosi kwenda kuweka hela kwenye cmu ya kununulia bando.

Ni kazi ambayo wengi imewafanya waitwe anti social wa kujitenga na jamii kwasababu ya kutumia muda mwingi na pc ila kazi zao hua zinatusaidia sana hasa sisi masikini tuliojaza program na muvi ambazo ni za kununua zilizochakachuliwa na hawa crackers na hackers. Ni aina hii ya watu ambazo huweka mambo yaliyojificha hadharani kama ilivyo kwa mtandao wa wiki leaks
 
Kudukua haijawahi kuwa kazi rahisi. La hasha! Lakini watundu wengi wa kompyuta wanataka kuwa wadukuzi. Kuwa mdukuzi ni rahisi. Kitu kigumu ni kuwa mdukuzi mzuri. Leo ntatoa dondoo za kuwa mdukuzi mzuri. Kuwa na ujuzi mzuri katika kompyuta ni kigezo cha wazi kwako wewe kuwa mdukuzi, hivo sitagusia hilo hapa chini.

file.php

Taswira ya Mdukuzi

1)Kuwa wa kisasa

Unatakiwa kuwa karibu na vyombo vya habari na kujua ni software gani mpya imetoka katika soko la software. Kuwa na mazoea ya kuperuzi kwaajili ya kupata software ya kisasa itakayoweza kukusaidia kudukua. Hata hivyo, teknolojia na sayansi zimefanya vitu kuwa rahisi zaidi, hivo zitumie vizuri. Upya wa teknolojia, ndio uharaka wa kazi kufanyika.

2)Kuwa mvumilivu

Uvumilivu ni sifa mojawapo ambao kila mdukuzi hupaswa awenayo ndani. Kama vile walivosema,Roma haikujengwa kwa siku moja, hivo-hivo kwa udukuzi. Kama unafikiri kudukua profile ya mtu au kitu kingine ni kazi ya siku moja au mbili, nasikitika kusema kwamba umekosea! Kudukua kunahitaji uvumilivu na vile vile kuchunguza mara kwa mara pia, kwa kuwa katika mazingira mengine inaweza ikachukua takriban wiki moja au mbili kudukua profile ya mtu.

3)Kuwa mtazamaji/mchunguzi mzuri

Sifa huu itakusaidia katika kufanya makadirio/makisio. Mtazamaji mzuri ni yule anayetazama vitu kwa umakini na kuviweka katika ufahamu wake kwa kuwa hujui nini kitakuja baadae na wakati wowote itakusaidia. Sasa, wakati wowote ukitembelea tuseme , facebook profile ya mtu, tazama vitu kwa makini kama miziki, muvi, page za facebook na kadhalika anazozipenda huyo mtu.

4)Mkisiaji bora

Baada ya kupata undani wa mtu kutoka kwenye profile yake ya facebook, lengo lako la msingi ni kudukua e-mail address yake ya msingi anayoitumia. Kuna kipimo kinachoamua uko vizuri kiasi gani katika kukisia. Sawa, hapa simaanishi kwamba ukisie passwords(nywila), lakini unaweza ukajaribu kujibu maswali ya usalama(security questions). Na undani(details) za yule mtu zina uwezekano wa hali ya juu kuwa na majibu ya maswali hayo.

5)Usipuuzie vitu vidogo

Kwa vitu vidogo namaanisha kuwa unavitu ambavyo hujawahi kufikiri kuvipa umakini wowote, hapo ndipo unapokosea. Naam, hata kipengele/dondoo ndogo na isiyohitajika kuhusu mtu kinaweza kudhihirisha umuhimu mkubwa sana baadae. Sifa hii inahusianishwa na sifa ya mtazamaji mzuri na hivo kuwa mkisiaji.

6)Mshawishi mwenye ufanisi wa hali ya juu

Unatakiwa uwe na ujuzi wa kushawishi vizuri ili uweze kumfanya mlengwa wako aweze ingia katika tovuti tapeli yako. Sasa, ni ngumu kidogo kumshawishi mtu kwa upande mmoja, lakini ndio kama uko kwenye kadaraja la juu la ushawishi, uko karibu kufanikiwa.

Siku zote kumbuka - Wakati unadukua usifikiri kunaguarantee yoyote na uhakika wa kupenya kwenye account au system ya mtu yeyote. Mara nyingine unatakiwa uonje kushindwa pia. Kama wasemavyo,penye nia pana njia, hivo jaribu njia nyingine. Kama vile njia ya kukisia imeshindikana mara nyingi, nenda tengeneza tovuti tapeli(phishing website). Kama hiyo pia imefeli, jaribu kutumia kinakili tarakimu(remote keylogger). Hivo, kunanjia nyingi sana kudukua kitu na njia moja wapo inaweza kufanikiwa kabisa lasivyo unayemlenga yupo makini sana na anauelewa wa hali ya juu katika kompyuta pia.

Jaribu kujizuia - Hupaswi Kujiamini kupitiliza.Siku zote usimdharau mlengwa wako na kumchukulia mjinga.Siku zote panga njia zako za baadae mbadala wa ile itakayokataa.Kitu kingine unanjizuia ni kujitangaza, ujuzi na mbinu zako.
Fahamu hilo.

Dhidi ya maanzilisho - Wadukuzi hawana heshima juu ya serikali, biashara kubwa, na mashirika makubwa, fedha nyingi.Vitu hivi havina umuhimu katika maisha ya wadukuzi.

Umeenjoy Post hii? Usisahau kushare na wenzako wapate kujifunza! Unakaribishwa pia kupost comment.
Dah wengine ndo beginers hatuelewi hata pa kuanzia boss
 
Back
Top Bottom