Recent content by jonas bundala

  1. J

    KERO Kusimama kwa ujenzi wa barabara ya Bukokwa kwenda Nyakarilo katika jimbo la Buchosa (Sengerema) yenye urefu wa Km 3

    Mimi siongelei mambo ya uchaguzi hapa nimezungumzia kusimama kwa mradi nahic naeleweka,
  2. J

    KERO Kusimama kwa ujenzi wa barabara ya Bukokwa kwenda Nyakarilo katika jimbo la Buchosa (Sengerema) yenye urefu wa Km 3

    Tangia mwaka jana mwezi wa 12 (12/2024) mradi umesimama na mkandarasi hayupo eneo la kazi mpka sasa ningependa kujua shida nini au ni mkandarasi mwenyewe ama mamlaka yaan Tanroads Mwanza. Mradi huu unaotekelezwa na mkandarasi D4N Company Limited tangu mwaka jana mwezi wa 12 umesimama na...
  3. J

    Msaada, hivi bei ya magodoro ya 4x6 ni bei gani kwa sasa?

    msaada naomba kujua bei halisi ya godoro aina ya comfy inch 10 sita Kwa sita
Back
Top Bottom