Anakimbilia ikulu kwa Rushwa ni Anayechanganya siasa na Kanisa Hivi,Mayor na Kanisa wapi na wapi ?Pigeni kelele sana lakini,kwa habari .za mbali mayor asipogombea uongozi wa chama siyo kuogopa mtu ,ila uongozi ni kupokezana kijiti ,umeongoza miaka 10 unatoa nafasi kwa mwingine.Siyo kugeuza...