Recent content by jonah123

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

    Hata CCM wakiwa 100% wapinzani ndani yake wenye uzalendo na sio kusema kila kitu ndio watapatikana na 2025 hakutakua na zile sababu za wapinzani wamekwamisha
  2. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna mtaa kama kijiji ni Lwengera Darajani ipo Korogwe TC umeme ulipelekwa nahisi mwaka jana lakini si nyumba zote ziliwekewa ikiwemo ya kwangu. Kutokana na taarifa sizizo rasmi na zenye kuvuruga ningependa kujua nini shida au ni watendaji tu wanatafuta namna ya kuhongwa sababu ni muda sasa...
Back
Top Bottom