With Trump's US election win, is Europe now on its own?
EU and NATO members were not shocked by Donald Trump's victory in the US presidential election but are now bracing for wild transatlantic ties. Will this accelerate efforts for more EU sovereignty?
NATO's Mark Rutte (right) is considered...
Na wewe kwa akili yako unaamini kuwa Yanga huwa wanashinda kwa ndumba?
Hayo ni mawazo mgando tena ni mgando mno mno.
Yanga ina uwezo mkubwa kiuchezaji na ina wachezaji wazuri wanaoweza kuamua matokeo muda wowote ule ndani ya dakika 90.
Umechambua pumba tu hapa, uchambuzi wa kishabiki na wakindezi.
Hamna uwezo mnatoa visingizio et kuna watu wanavujisha siri zenu kwa Manara.
Timu yenu si chochote mbele ya Yanga miaka ya hivi karibuni.
Ahmed Ally hana anachojua juu ya wajibu wake wa kuisemea taasisi iliyomuajili badala yake anafanya mambo tofauti ili tu kuwasahaulisha washabiki wa Simba juu ya mwenendo mbovu wa timu yao.
Simba mnasahau kujadili yenu mnajikita kujadili mambo ya Yanga.
Mmeshasahau kipigo cha Mashujaa Fc na sasa mmepata jambo la kujifariji.
Mmeishiwa, mitandaoni hamuuziki hata kwa mkopo kilichobaki ni kushabikia mambo haya.
Daima Yanga tupo imara na tarehe 20 tutawatwanga ili kuwazima kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.