Recent content by jollyman91

  1. jollyman91

    Irked by Iran’s growing oil sales, US resorts to piracy: Report

    A report says that stealing oil cargoes is a last-ditch effort by the US to prevent Iran’s growing sales. The United States has resorted to pirating Iranian oil cargoes as it has failed in its various attempts to cut the country’s oil exports to zero through its regime of sanctions, says an...
  2. jollyman91

    Intercontinental beach soccer cup: Iran 6-1 Japan

    Iran have sealed their progression into the knockout stages, with a commanding 6-1 win over Japan in Group B of the 2021 Inter-continental Beach Soccer Cup in Dubai. After a goalless action in the opening time-frame, Team Melli took the lead, early in the second period through Mohammad Ali...
  3. jollyman91

    Iran Navy foils pirate attack on Iranian oil tanker en route to Gulf of Aden

    Iran Navy foils pirate attack on Iranian oil tanker en route to Gulf of Aden The file photo shows an Iranian oil tanker belonging to the National Iranian Tanker Company. The Iranian naval forces have managed to thwart a pirate attack on one of the country’s oil tankers en route to the Gulf of...
  4. jollyman91

    IRGC releases footage of confronting US piracy targeting Iranian oil in Sea of Oman

    Iran's Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) releases detailed footage of its confrontation late last month against an American act of piracy targeting an Iranian fuel shipment. The incident took place on October 25, but news and footage of which were released on Wednesday. During the...
  5. jollyman91

    Kukiri Israel udhaifu wa "Ngao ya Chuma" na kutoweza kwake kujilinda na makombora ya Wapalestina

    Kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba, mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora uliopachikwa jina la "Ngao ya Chuma" hauwezi kudhamini usalama wa utawala huo mbele ya vipigo vya makombora kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina. Kituo cha...
  6. jollyman91

    Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa mabavu na magaidi. Hadi sasa vita hivyo vimesababisha maafa na mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi...
  7. jollyman91

    Serikali ya Canada yahukumiwa kuwalipa fidia wakazi asili wa nchi hiyo

    Mahakama ya Haki za Binadamu ya Canada ambayo mwaka 2016 iliituhumu serikali ya nchi kuwa imefanya ubaguzi wa kimbari, kutumia mabavu na kuua Wahindi Wekundu wenyeji wa nchi hiyo imeitaka serikali ya Ottawa kuwalipa fidia Wahindi Wekundu kwa kupatikana na hatia ya kukiuka haki zao za kibinadamu...
  8. jollyman91

    Putin asisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja kati ya Russia na China

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja baina ya nchi yake na China. Putin ametoa sisitizo hilo katika salamu alizomtumia Rais Xi Jinping wa China kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 72 wa kuasisiwa Jamhuri ya Watu wa China. Katika salamu zake hizo, Rais...
  9. jollyman91

    Guinea: Kiongozi wa Mapinduzi kuapishwa kuwa Rais wa Mpito

    Kanali Doumbuoya ameapishwa mbele ya Mahakama Kuu kuwa rais wa Guinea baada ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 5 Septemba ambayo yamelaaniwa kikanda na kimataifa. Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS imeuwekea vikwazo utawala wa kijeshi nchini Guinea ili kuushinikiza...
  10. jollyman91

    Katibu Mkuu wa UN: Nimeshtushwa na hatua ya Ethiopia kuwatimua maafisa wetu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana na kitendo cha serikali ya Ethiopia kuwafukuza maafisa wa umoja huo wanaohudumu nchini humo. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na msemaji wake mjini New York, Guterres amesema, "nimeshtushwa na habari kwamba serikali ya...
  11. jollyman91

    Shirika la ujasusi la Kizayuni lafungua ofisi yake ya uwakilishi Abu Dhabi, UAE

    Duru za habari zimeripoti kuwa, shirika moja la kizayuni linalotengeneza vifaa vya intaneti vya ujasusi limefungua ofisi yake mjini Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu. Kwa mujibu wa duru hizo za habari, shirika la kizayuni la AWZ Ventures linalojihusisha na teknolojia ya ujasusi...
  12. jollyman91

    Kamanda wa jeshi la nchi kavu la Iran: Tunazifuatilia kikamilifu harakati za Wazayuni

    Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa...
  13. jollyman91

    ECCAS yataka kuwepo mazungumzo ya makundi yote nchini Chad

    Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Katikati mwa Afrika (ECCAS) imetoa wito wa kuitishwa amazungumzo yatakayoshirikisha makundi yote nchini Chad. Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Kongo ambaye ni Mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Katikati mwa Afrika (ECCAS) amezitolea wito pande...
  14. jollyman91

    Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast aasisi harakati ya kisiasa

    Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Bi Simone Gbagbo leo ameshiriki katika uzinduzi wa harakati ya kisiasa, ikiwa ni hatua moja kuelekea kuasisi chama chake cha siasa kwa ajili ya uchaguzi wa rais wa mwaka 2025. Simone Gbagbo ametilia mkazo mwelekeo wake wa kuwa na "Kodivaa yenye nguvu, iliyo...
  15. jollyman91

    Five Palestinians killed in overnight clashes with Israeli forces across West Bank

    Really, you kill protesters with live bullets. did you even read what was written. But you have right to your opinion .
Back
Top Bottom