Recent content by Jokatai

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Musoma Mjini kung'olewa leo

    LEO NI SIKU YA KUTAMBUA MBIVU NA MBICHI ZA HATIMA YA AJIRA YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MUSOMA MJINI AHMED SAWA KWA KUWA KIKAO CHA KUMNG'OA KAZINI KIMEANZA HIVI PUNDE. (kwa taarifa: halmashauri ya musoma mjini inaongozwa na CHADEMA) SABABU ZA KUMNG'OA MKURUGENZI HUYO NI KWAMBA AMETUMIA...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere awakemea makada wa CCM Musoma mjini

    Mh. Nyerere, Mbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA) amewakemea makada wa CCM wa Musoma mjini kwa kitendo chao kiovu, cha kuwashawishi wafanyabiashara katika soko kuu la Musoma Mjini wasipishe ukarabati wa soko hadi watakapolipwa fedha ya faida ya siku kwa siku zote watakazokuwa hawapo. Ushawishi kama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania You must be a genius to join CHADEMA

    leo tbc wana matatizo: Angalieni star tv
  4. J

    JamiiForums Tanzania You must be a genius to join CHADEMA

    To be sincere, I like that
  5. J

    JamiiForums Tanzania You must be a genius to join CHADEMA

    "when dealing with a genius, it is not about the money,you can not afford genius, genius are not attracted by money- sotelling someone to name his or her price you just annoy him or her"this is the principle of the genius u c incdm because in joining the party they where not motivated by money...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Majembe ya chadema yawasilisha hoja binafsi bungeni kwa fujo

    Wandugu Bunge la Februari mwaka huu 2013 linategemewa kuwa na kitimtim cha aina yake baada ya Majembe mawili ya CHADEMA Vincent Nyerere na Peter Msigwa kuwasilisha rasmi kwa katibu wa Bunge hoja binafsi zitakazojadiliwa katika mkutano wa bunge unaotarajiwa kuanza tarehe 29/01/2013. Wakati hoja...
Back
Top Bottom