Recent content by JokaKuu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka aishinda Jamhuri kesi ya Pre Bargain

    ..serikali haitamlipa. ..Chadema hawajarudishiwa pesa zao mpaka leo, pamoja na kwamba walipata ushindi ktk mahakama ya rufani ktk kesi ya Akwilina.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vipi Kama Tanzania Ingejiendesha Kwa Mfumo wa Majimbo?

    ..tangu gesi imegunduliwa watu wangapi wa kusini wamerudi kwao? ..je ugunduzi wa Tanzanite umepelekea wenyeji wa Mirerani wasichangamkie fursa maeneo mengine? ..sio sawa kuamini kwamba madini ndio fursa au utajiri pekee nchini kwetu. ..pia sio sawa kujifunga kifikra kwamba Mtanzania hapaswi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Vipi Kama Tanzania Ingejiendesha Kwa Mfumo wa Majimbo?

    ..sio kweli kwamba kila Msukuma wa Geita anataka kuwa ktk sekta ya madini. Wengine wanapenda kulima matikiti watahamia sehemu tofauti. ..kwanza, Dhahabu haitakuwepo miaka yote. ..pili, kuna maeneo mengi nchi hii yana dhahabu au madini mengine. ..tatu, sasa hivi kuna wananchi toka maeneo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

    ..matendo yanayoendelea yanaweza kusababisha nchi ikaparaganyika, na wao kupoteza mali zao. ..ningekuwa mshauri wao ningewaambia waachane kabisa na mambo ya kuteka, kutesa, na kuuwa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Vipi Kama Tanzania Ingejiendesha Kwa Mfumo wa Majimbo?

    ..hebu fafanua hoja yako. ..kwasababu hata mikoa imegawa nchi vipande vipande.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vipi Kama Tanzania Ingejiendesha Kwa Mfumo wa Majimbo?

    ..ukisikiliza mahojiano ya Wakuu wa mikoa wa sasa hivi na vyombo vya habari utasikia mambo yafuatayo. 1.huwa wanapewa " maagizo " kuhusu mambo wanayotakiwa kuyatekeleza. Ni kama vision ya Raisi kuhusu mkoa husika. 2.wengi wanaeleza kwamba hulazimika kupitia kipindi cha mpito kulielewa eneoao...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vipi Kama Tanzania Ingejiendesha Kwa Mfumo wa Majimbo?

    ..Kenya ukabila ulikuwepo tangu wakati kabla ya uhuru. ..kazi ya majimbo sio kuondoa changamoto za ukabila, au udini. ..majimbo yanapendekezwa kwa ajili ya kuboresha huduma kwa jamii, na kuchochea maendeleo.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Vipi Kama Tanzania Ingejiendesha Kwa Mfumo wa Majimbo?

    1.hakuna jimbo masikini kati ya uliyoyataja. 2.kuna uhuru wa Watz kuishi na kufanya shughuli halali popote. 3.majimbo yatapewa mamlaka machache yatakayowawezesha kutoa huduma bora kwa wakaazi wake. 4.Tunaweza tusianzishe majimbo badala yake tukapeleka mamlaka zaidi kwa mikoa kutoa huduma za...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomwondoa Profesa Assad kibabe bila kufuata sheria na taratibu

    ..alikuwa mtoto. ..asamehewe.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

    ..hoja yangu ni kwamba dont start the fire. ..mambo haya ya hovyo hovyo yalishika kasi toka 2016. ..lakini sisi Watanzania tulibweteka, tukiamini kwamba MUNGU anatupenda kuliko wanadamu wengine. kwamba hata watawala wakifanya mambo ya hovyo tutaendelea kuwa salama. ..Ni wapi ambapo chaguzi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomwondoa Profesa Assad kibabe bila kufuata sheria na taratibu

    ..hapana. ..alibadili jina toka Jaffari Assad, na kuwa Mussa Assad, ili awe kupata nafasi nyingine kufanya mtihani wa darasa la 7. ..Na toka amebadili jina amefaulu darasa la 7, kidato cha 4, cha 6, Udsm, na PhD nje ya nchi.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomwondoa Profesa Assad kibabe bila kufuata sheria na taratibu

    ..that is not a big deal. ..amebadili jina tu, hakuiba vyeti vya mtu yeyote. ..pia amefaulu mitihani yake ndani, na nje ya nchi.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomwondoa Profesa Assad kibabe bila kufuata sheria na taratibu

    ..sasa wananchi tufuate lipi? ..tuiamini serikali, au tumuamini Mkaguzi?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomwondoa Profesa Assad kibabe bila kufuata sheria na taratibu

    ..hazikuibwa lakini hazionekani. ..na alivyotaka kukagua uuzwaji wa nyumba za serikali akafungiwa milango.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

    ..Excellent. ..Nimeupenda sana mfano wako. ..kwenye suala la maandamano unatakiwa u-deal na aliyefanya maamuzi mabaya na kupelekea wananchi kuandamana. ..Unakumbuka maandamano ya Wamaasai kule Ngorongoro? Si yalitokana na maamuzi ya hovyo hovyo ya serikali? ..Baada ya Ngorongoro yametokea...
Back
Top Bottom