Recent content by JoJowin

  1. J

    SoC04 Kisa cha kijiji cha Mwendokasi

    Mwaka 2024 mwezi wa tano katika kijiji cha Mwendokasi, Kuna dokta mmoja anatokea kwenye chumba cha leba huyu anaitwa “dokta Steve”. Kwa mbele tunamuona mzee mmoja anakuja kwa haraka huku akiwa na wasiwasi anaitwa mzee “Sekwa”. Dokta anamtuliza na kumwambia mama kajifungua, mtoto yuko salama...
Back
Top Bottom