Recent content by jojose

  1. J

    Dunia haina huruma na usikae hata siku moja kusubiri huruma

    Bandiko murua mkuu,dunia haina huruma ila mtu ndio inabd kupambana na changamoto yoyote itakayojitokeza na kuhakikisha unaibuka mshindi au unaigeuza kuwa fursa
  2. J

    Imeniuma jiwe kutokuchomekea hoja za EU na USA

    Utaskia China wanatoa msaada bila masharti ya ajab ngoja zam yake ya kutaifishiwa J.K airport ifike kama bombadia hazitakua zinatua chato airport
  3. J

    Imeniuma jiwe kutokuchomekea hoja za EU na USA

    Ndio maana E.L kaishia kujipendekeza na ikabd aambiwe wazi kuwa awashauri vjana wake wasije potelea segerea kwan mihimili yote anaiongoza yeye
  4. J

    Rais Magufuli aambiwe ukweli

    Walanguaji tumeula wa chuya japo ilikua ni biashara halali kipindi cha nyuma na na ilikua inaingiza kipato kwa kijiji husika
Back
Top Bottom