Recent content by johnwkc

  1. J

    RIP Emmanuel Mwaikasu- MBEYA DAY 1987-IFUNDA TECH 1988-90

    Tunashukuru kwa picha!!! Tuta mmiss Imma. Tulikuwa sote Arusha Tech!!! Kapumzike rafiki na ndugu yetu Emmanuel!!! Ilikuwa vigumu kukubali ila sasa nasema kazi ya mungu haina makosa. Tutakumbuka tabasamu lako na jokes zako!!!!
  2. J

    RIP Emmanuel Mwaikasu- MBEYA DAY 1987-IFUNDA TECH 1988-90

    Ahsante sana aise!!! Maana sisi tulio mbali tulikuwa tunataka kujua au kuona kaka yetu Imma ameagwa vipi. Inafurahisha kusikia kwamba watu walijitokeza kwani Imma alikuwa mtu wa watu!!! Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe!!!! Kapumzike rafiki na kaka yetu Emmanuel!!!!
  3. J

    RIP Emmanuel Mwaikasu- MBEYA DAY 1987-IFUNDA TECH 1988-90

    Imma alikuwa mcheshi, mtu wa watu na anayependa utani!!!! Sikumbuki kuona amekasirika, kweli watu wazuri hawadumu. Hapa nilipo nakumbuka tabasamu lake. Imma tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi. Tutakukumbuka daima kaka yetu. Nenda kapumzike, mwenyezi mungu aiweke roho yako mahali pema...
Back
Top Bottom