Recent content by johnthebaptist

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi ndio Muasisi wa Bima ya Afya ( NHIF) nchini kama kuna anayebisha aende akasome Kitabu cha hayati Benjamin Mkapa !

    Hisa za migodi amenunua kwenye Stock exchange markets za Australia na London Swali lingine
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it

    Kasema yeye hajaanza kuchimba makaa ya mawe Unazungumziaje hilo?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it

    Rostam: Nimenunua Hisa za kampuni za migodi kutoka Masoko ya Hisa ya Australia na London sijauziwa na Serikali Nadhani hapo ndio pamemvuruga Retired
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it

    Wewe siyo mwanasiasa ndio sababu una uwoga wa kuchambua hoja mbalimbali kinzani 🐼
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rostam: 1995 Lowassa na Kikwete walikuwa na Nia ya kugombea Urais lakini EL akakatwa, 2005 tukamuunga mkono Kikwete lakini 2015 mambo yalibadilika!

    Kwa maana hiyo ule mtandao wa Mapacha Watatu ulizikwa rasmi 2015 Ikumbukwe Mapacha Watatu ndio walikuwa Vinara wa Mtandao japo kulikuwa na Wajumbe kama Membe, Sitta, Mataka, Temu, Sophia nk nk Maelezo ya Aziz yamenyooka sana 🐼
  6. J

    JamiiForums Tanzania Trump anaidhalilisha Marekani

    Ametishwa na Mapacha Watatu XI, Putin na Kim
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rostam: Baada ya Lowassa kukatwa niliondoka lakini Magufuli alinipigia simu na kunisalimia kwa kisukuma akaagiza nirejee nyumbani tujenge nchi

    Kama huna Furaha utakuwa ndio ulivamia jana ili wote wasiwe na Furaha
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    Migodi amenunua kwenye Masoko ya Hisa huko duniani yaani Australia na London
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rostam: Baada ya Lowassa kukatwa niliondoka lakini Magufuli alinipigia simu na kunisalimia kwa kisukuma akaagiza nirejee nyumbani tujenge nchi

    Tanzania ni nchi ya Furaha bwashee kama wewe huna Furaha kunywa Panadol
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi ndio Muasisi wa Bima ya Afya ( NHIF) nchini kama kuna anayebisha aende akasome Kitabu cha hayati Benjamin Mkapa !

    Bima ya Afya ni Moja ya misingi mikuu ya taifa endelevu Kwa hili Aziz ni lazima apongezwe Hapo Kenya SHA inawatoa jasho Duale hapati usingizi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Aliyemnywesha pombe mtoto anasakwa na polisi

    Pombe au Mtogwa? 🐼
Back
Top Bottom