Recent content by Johnsonk

  1. J

    Tablet ya XTIGI Joy 7 inauzwa

    Haifai mkuu
  2. J

    PC ya HP kwa bei chee

    Processor i3 hdd 320GB ram 4GB pia ni potable modell 210. Mpya sio used. Bei 540,000. Tunasafirisha.
  3. J

    Tablet ya XTIGI Joy 7 inauzwa

    Simu bado condition yake ni nzuri, ina protector iliyonunuliwa nayo, flip cover kama unavyoona na betri yake inatunza chaji sana tu. Screen yake ni HD.
  4. J

    Tablet ya XTIGI Joy 7 inauzwa

    Daah!! Pole mkuu. Naiuza bei ya hasara ndugu tofauti na uwezo wa hiyo simu
  5. J

    Tablet ya XTIGI Joy 7 inauzwa

    Aliye serious 0652174234. Popote ulipo itakufikia.
  6. J

    Tablet ya XTIGI Joy 7 inauzwa

    Hii mashine bado mpya yaani
  7. J

    Tablet ya XTIGI Joy 7 inauzwa

    Daah 90 ndugu haifai hata kidogo
  8. J

    Tablet ya XTIGI Joy 7 inauzwa

    Nipo Kilimanjaro
  9. J

    Msaada, Wino unaoonekana kwenye screen ya tablet

    Hapo ni kubadilisha tu ndugu hamna namna nyingine
  10. J

    Tablet ya XTIGI Joy 7 inauzwa

    Simu bado ipo kwenye condition nzuri, haina crake wala mchubuko kwenye screen, inahifadhi chaji, ina nchi 7, 16 Gb na 1 Gb Ram, kwa 180,000 tu, unapata na Flip cover yake.
  11. J

    Natoa ujuzi wanaotaka kazi za kutengeneza simu upande wa software

    Sms zangu zinakataa kuja kwako sijui inaniandikiaje, ila nia ninayo
Back
Top Bottom