Recent content by Johnson nyangira

  1. Johnson nyangira

    INAUZWA Mifumo ya ulinzi ya kisasa kwa gharama nafuu

    Nando technical company Watoa huduma za kisasa zaidi zenye gharama nafuu CCTV CAMERAS INSTALLATION ELECTRIC FENCE INSTALLATION ALARM SYSTEM SECURITY AIR CONDITION SUPPLY AND INSTALLATION FIRE ALARM SYSTEM SOLAR STREET LIGHT INSTALLATION MOTOR GATE INSTALLATION BIOMETRIC SECURITY INSTALLATION...
  2. Johnson nyangira

    Nawezaje kubadili jina kwenye vyeti vyangu

    Hapo haitakuwa na madhara yoyote mfano kwenye suala la ajira
  3. Johnson nyangira

    Nawezaje kubadili jina kwenye vyeti vyangu

    Wazazi wangu walitengana nikiwa na umri mdogo kisha mama yangu akaolewa tena. Kwa sasa nimemaliza kidato cha nne nataka kwenda chuo ila nahiitaj kutumia jina la baba yangu mzazi kabla sijaingia chuoni msaada jamani nifanye nini?
  4. Johnson nyangira

    Najitambulisha

    Naitwa johnson mkazi wa musoma
Back
Top Bottom