Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo kimeandaa mdahalo wa wachambuzi utakaofanyika Jumamosi, Agosti 30, 2025 katika ukumbi wa American Corner, Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 7:00...
Wananchi wenzangu wapendwa,
Leo nasimama mbele yenu nikiwa na heshima kubwa ya kuzungumzia kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan, katika kuinua kundi muhimu sana katika taifa letu – wajasiriamali wadogo na wa kati.
Wakati Mama Samia anaingia madarakani, thamani...
Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani Wajasiliamali waliopewa mikopo binafsi (Personal loans ),thamani ya mikopo hiyo ilifikia jumla ya TZS 7Trilioni miaka minne baadae mikopo hii imefikia jumla ya TZS 14Trilioni sawa na ongezeko la TZS7Trilioni au 200% pia ni ongezeko la mara mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.