jamani naombeni msaada wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina div 3 point 25 grade za masomo ni:
geo-c bio-c eng-b+
math-b kisw-d hist-c
phy-c chem-d civ-c
Je, naweza kujiunga na chuo cha DIT
(nataka nichukue electronics and telecommunication engineering)
wenzangu wa jamii forum nadhani mpo salama
naombeni mnisaidie kunipa muongozo wa kazi ninazo weza kupata na bs science degree ya IT na pay yake inaweza kurange vipi
Salaam zangu kwa wana wa jamii forum
swali langu ni eti mhitimu wa kidato cha nne anaweza kwenda kusomea urubani yani kuanzia basic mpaka afike kiwango cha kuweza kufanya practical
Hizo mbili za juu zinafukuzana kwa ada. Kwa mwaka sio chini ya $ 35,000 hadi $ 45,000.
Na hizo za mbili za chini zinakwenda kuanzia $ 8,000 hadi 15,000.
Haya kazi ni kwako
Shule zenye NECTA au zenye igcse na necta
pamoja
kwahiyo nikiwa nataka combi ya PCB nikiwa na d ya chemia haina shida cio.
lakini nasikia italeta matatizo kwenye necta kwa sababu ya credit ya chemia sina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.